COVID-19: Wagonjwa 22 walazwa ICU, wengine 12 waaga dunia
- Jumla ya idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Kenya imegonga 48,790 - Jumla ya idadi ya sampuli zilizopimwa imefika 653,229 Wizara ya Afya imetangaza kwamba watu wengine 947 wamethibitishwa kuambukizwa virusi hatari vya corona katika saa 24 zilizopita kutokana na sampuli 6,862.