DP Ruto akutana na zaidi ya viongozi 400 kutoka Nyanza, kaunti zingine 3
- Viongozi hao waliongozwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge Kibra Eliud Owalo - Viongozi wengine waliokuwepo ni pamoja na Marwa Kitayama (Kuria Mashariki), Alfah Miruka (Bomachoge Chache), Owen Baya (Kilifi Kaskazini) na Kimani Ichung'wa (Kikuyu